

Lugha Nyingine
遂昌74岁的盲妈妈给20多名弃婴一个家
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2024
百度 而每次不多的几句话,更语出惊人,一副小大人儿的成熟,跟他的年龄相比,更彰显无厘头的童趣。
RIO DE JANEIRO - Rais wa China Xi Jinping amewasili Rio De Janeiro, Brazil jana siku ya Jumapili kwa kuhudhuria kwenye Mkutano wa 19 wa Kilele wa G20 na kufanya ziara ya kiserikali nchini Brazil kutokana na mwaliko wa Rais Luiz Inacio Lula da Silva.
Rais Xi Jinping wa China akiwasili Rio de Janeiro kwa kuhudhuria kwenye Mkutano wa 19 wa G20 na kufanya ziara ya kiserikali nchini Brazil kutokana na mwaliko wa Rais Luiz Inacio Lula da Silva, Novemba 17, 2024. (Xinhua/Ding Haitao)
Watu wakimkaribisha Rais Xi Jinping wa China huko Rio de Janeiro, Brazil, Novemba 17, 2024. Xinhua/Li Yan)
Watu wakimkaribisha Rais Xi Jinping wa China huko Rio de Janeiro, Brazil, Novemba 17, 2024. Xinhua/Li Yan)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma